Jinsi yako na makopa ukiwa mchezoni (Wanimaliza) Kwenye raha huna pupa  Kidhi raha zangu tukiwa chumbani Beiby boy nipe yote kwa mwingine sitamani

Kwao nafuata nini? Kwako nakosa nini? (Ukimbie) Umeshanipiga pini Moyoni mpaka mwilini (Wasimulie)

Kwao nafuata nini? Kwako nakosa nini? (Ukimbie) Umeshanipiga pini Moyoni mpaka mwilini (Wasimulie)

Nahisi si kupendwa kabla yako Ila nachopenda ndo unacho Yamepita mengi kwenye macho Ila nachopenda ndo unacho

Ushaniwaza kashasema sawa Sina dira nishapagawa Umenikoleza penzi lako dawa Nishakanyaga waya

Oooh beiby naenjoy vitu vyako Ooh beiby chako changu, changu chako

Unanipa mambo matamu Unaikata mishipa ya fahamu Unanipa mambo matamu Unaikata mishipa ya fahamu Njoo nikupe nitaongeza dawa

[Khaligraph Jones] First I gotta give it all to you  Coz of how you keep it 100 You persistent ukisema that you want it Huh and am thinking it’s cool As long as ma and you keeping the truth

Vile hii lugha napanga ni ujue we msupa unabamba Vile you taking me high itabidi nimeshuka na kamba Ikifika ni swag huniita buda mapamba And coz I drive you beiby crazy funga mikanda OG!

Nahisi si kupendwa kabla yako Ila nachopenda ndo unacho Yamepita mengi kwenye macho Ila nachopenda ndo unacho

Ushaniwaza kashasema sawa Sina dira nishapagawa Umenikoleza penzi lako dawa Nishakanyaga waya

Oooh beiby naenjoy vitu vyako Ooh beiby chako changu, changu chako

[Khaligraph Jones] Mi ni bazenga what you want inaweza get down Don’t even mind them, attention they need to get non Naona umechizishwa na huyu boy wa Western The way I got the sause unaeza niita Peptang

Hey Lulu Diva nataka kukutuliza But nina swali nataka kukuuliza Uko sure you wanna roll with me? Coz am way too getter, O to the G warrup

Nishakanyaga waya Ooh beiby chako changu, changu chako Oooh yeah

You May Also Like

M. J. Hur Husband, Height, Net Worth Is MJ Hur Married Now?

M. J. Hur Husband, Height, Net Worth Is M. J. Hur Married…

Shalanda Young Age: Meet The OMB Lead Contender

Shalanda Young age should be in the 40s. Although, her official date…

Marlen P Wikipedia, Biography, Age, Height, Nationality, Instagram

           Davis serves as a forward and center…

Brittany Broski Kombucha, Bio, Wiki, Age, Height, Boyfriend, Net Worth, TiKtok and Meme

Who is Brittany Broski?, Brittany Broski Biography and Wiki Brittany Broski is…