Kama unaigiza huwezi chill nasi Nashangaa unaagiza unatuletea Billnas  Nazama chumvini mpaka upinza tena mwendo kasi Na videm vikikatiza navikata bila mkasi 

Napata title bila beka  Kwenye microphoni nateta Macho kwenye paper mi nafight kueleweka Ukitaka money, acha niwagee Mwambie Vanny, mjini mi na nesa na Mdee

Siko smart kama phoni Beep kama honi  Sina mbio ka jogooni  Pia naswing ka mtoni(Wee) Nigga nawazoom kwenye mboni Wenye sumu za mdomoni Nazuga siwaoni

Hahaha unavimba Dacha wewe unatamba Aaah unatamba Dacha madayo wem unatamba

Wanaokuwa mnachonga basi cool down Mnakaba sehemu za nyeti mpaka kwenye ** Kitambo kula ukoko kwetu burudani Natembea kwa ungoko leo Sultan

Sio sio matatizo wala kesi Usilete izo leta bizness Ni we na mshiko sio na stress Mpaka mwisho yatam-bless

Siko smart kama phoni Beep kama honi  Sina mbio ka jogooni  Pia naswing ka mtoni(Wee) Nigga nawazoom kwenye mboni Wenye sumu za mdomoni Nazuga siwaoni

Hahaha unavimba Dacha wewe unatamba Aaah unatamba Dacha madayo wem unatamba

Usipande, ndege kwa mbele ama punda kwa nyuma Utajikuta kuguna huku uso umenuna Ni kweli sijakosea najua kinachofuatia Wanaocheka ukikosea, ndio wanaonuna ukimpatia

Vimba tu maana sio rahisi Umejitahidi sana, leo umeishi umewini Na unajua maana ya kufaulu Na sasa idea za wenzio uzifaidi

Siko smart kama phoni Beep kama honi  Sina mbio ka jogooni  Pia naswing ka mtoni(Wee) Nigga nawazoom kwenye mboni Wenye sumu za mdomoni Nazuga siwaoni

Hahaha unavimba Dacha wewe unatamba Aaah unatamba Dacha madayo wem unatamba

Dacha bwana  Producer mnoma kuliko wote duniani

You May Also Like

Keystone Bank Branches in Cross River

Keystone Bank formerly BankPHB has over 150 bank branches in Nigeria. Keystone…

John Cena

Show your social love to this actress American wrestler, rapper, musician, actor,…

Jesse Wood Net Worth, Income, Salary, Earnings, Biography

Jesse James Wood (born October 30, 1976 in Malibu) is a London-based…

Dr. Lumba Mohan Details, Specialty, Clinic Appointment and Contacts

Dr Lumba Mohan Dr Lumba Mohan is a Paediatrician and has an…